Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, December 3, 2012

BEREKI KIMIRO NDIYO MSHINDI WA MAISHA PLUS

 


   
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Mshiriki kutoka Dar es Salaam Bereniki Kimiro aka Mama Kev ndio ameibuka mshindi wa maisha plus season 3 nakujinyakulia kitita cha sh mil 20. katika nafasi ya 2 imekwenda kwa Venance Mushi alie ibuka na kitita cha sh ml 6 kilichotolewa na naibu Waziri wa maliasili na utalii Mh Lazaro Nyalandu na wa tatu ni Justin Bayo kutoka Morogoro nae kajinyakulia kitita cha sh mil 4 pia kimetolewa na naibu waziri huyo ambaye pia amewahaidi vijana wote waliobakia kuwapa kila mmoja sh laki tano katika halfa ya msosi wa mchana aliowaahidi kuwaandalia kesho katika hotel ya serena

No comments:

Post a Comment