Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, December 1, 2012

EXCLUSIVEEE TOKA DJ SEK:::HAYA NDO MANENO ALIYOANDIKA DJ CHOKA BAADA YA MWANADADA LADY NAH KUMSEMA JANA KWENYE FRIDAY NIGHT LIVE KWAMBA HAKWENDA KUMZIKA SHARO MILIONEA JISOMEE MWENYEWE


 
UJUMBE HUU UKUFIKIE WEE UNAYEJIITA LADY NAH...Nilikaa kimya na nikakuvumiliaaaaa baada ya kupata ujumbe wako mfupi ulioutuma BBM, ukaona haitoshi jana ukaenda EATV kwenye FRIDAY NIGHT LIVE ukaendelea kuongea maneno yako na kuwasema watu ambao hawajaenda kumzika marehemu Sharo Millionea. Sasa hao wengine uliowataja me s
idili nao nadili na ww mazafaka. Bora ungeendelea kunisema me na sio kwenda kuyazungumzia maisha yangu na mtoto wangu au demu wangu kwenye TV, haitoshi unaambiwa nalea unajibu kwani mimba nilibeba mimi? Huo usenge na ukuma gani unaenda kuzungumza kwenye media. Haya maisha yangu wewe kama nani uniingilie? Nakutafuta tuongee uso kwa uso ngoja niendelee kumlea dume langu litakalokuja kumuoa mwanao wa kike.. FUCK YOU

1 comment: