Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, December 1, 2012

Hutuba ya Mwisho wa Mwezi JK Kuhutubia Mjini Lindi siku ya Ukimwi Duniani


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete hatahutubia taifa Ijumaa, Novemba 30, 2012, kama ilivyo kawaida yake kila mwisho wa mwezi.
Badala yake, Rais Kikwete atahutubia Taifa kesho, Jumamosi, Desemba Mosi, 2012 kutoka Uwanja wa Ilulu, mjini Lindi wakati wa Siku ya Ukimwi Duniani ambako atakuwa Mgeni Rasmi.

No comments:

Post a Comment