Waziri wa Viwanda na Biashara Mh. Abdallah Kigoda akiwa na kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TBS Bw. Leaudi Kinabo (kushoto) pamoja na ofisa masako mwandamizi wa TBS wakitoka katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es salaam baada ya ufunguzi wa semina kwa  wafanya biashara ya ufungashaji bidhaa iliyoandaliwa na shirika la viwango Tanzania. (picha na Chris Mfinanga).
Meneja Viwango na Uhandisi wa TBS Eng Tumaini Mtitu (kulia) akibadalisha mawazo na Mkurugenzi wa upimaji na ugezi Bibi Kezia Mbwambo wakati wa semina ya ufungashaji bidhaa semina hiyo iliandaliwa na shirika la viwango Tanzania TBS.