Rais
Jakaya Kikwete akiwa katika uwanja wa ndege wa Lindi mara baada ya
kuwasili mkoani Lindi asubuhi hii ambako anahudhuria maadhimisho ya siku
ya ukimwi duniani yanayofanyika Kitaifa kwenye uwanja wa Ilulu mkoani
humo, wadau mbaloimbali wanaojihusisha na masuala ya kupambana na
ugonjwa wa ukimwi wamejitokeza na kushiriki katika maonyesho yenye lengo
la kuelimisha na kukumbusha juu ya hatari za ugonjwa wa ukimwi na mbinu
mbalimbali za kupambana nao Kushoto ni Mama Salma mke wa Ras Jakaya
Kikwete na kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Lindi Mh. Ludovick Mwananzila.
Kauli mbiu ya mwaka huu ni.
"Tanzania Bila Maambukizi mapya, Unyanyapaa na vifo vitokanavyo na Ukimwi Inawezekana"PICHA NA FULLSHANGWEBLOG.COM
No comments:
Post a Comment