Madada
wengine hawana heshima kabisa, umealikwa kwenye halafu unafanya mbamo
ya ajabu kama hawa wadada chini. wamealikwa wanaanza kucheza kihasara
hasara. Nguo zenyewe walizovaa..... Wengine ni watu wazima kabisa lakini walivyovaa kama watoto wa miaka 23. Kweli akina dada tujiheshimu.
No comments:
Post a Comment