Pages

Thursday, January 24, 2013

BREAKING NEWEEEZZZZZ: WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA ST. JOHN WAANDAMANA KUELEKEA KWA MKUU WA MKOA WA DODOMA KUSHINIKIZA ULINZI KATIKA MAENEO YOTE CHUO TAZAMA PICHA


 Maaskari wakiongoza msafara wa wanachuo ambao walikuwa wanaelekea kwa mkuu wa mkoa
 
 Maaskari wakiwa kwenye ulinzi wakati wa maanadamano ya wanachuo waliokuwa wanaelekekea kwa mkuu wa mkoa Dodoma


 Wanachuo wakiwa wameshika mabango ya kushinikiza ulinzi katika chuo cha St. John



 Wanachuo wa chuo kikuu wakiwa kwenye maandamano
 Maaskari wakiwa nyuma ya maanadamano ya wanachuo wa chuo kikuu cha St. John
Wanachuo wakiwa kwenye maandamano kuelekea kwa mkuu wa mkoa hii ni kushinikiza ulinzi kwa sababu ya matukio ambayo yanaendelea kutokea maana juzi alifariki mwanachuo na usiku wa kuamkia leo wanachuo walivamiwa kwenye chumbani baada ya kukata nindo ya dirisha na kuiba Laptop tatu na simu tano na baada ya kuchukua vitu hivyo waliacha wamewafanyia vitendo vibaya na pia waliachwa wamefungwa ili wasipige kelele.
Kwa hali hii  imesababisha maandamano ili kushinikiza ulinzi katika chuo cha St. John kilichopo Dodoma mjini.

No comments:

Post a Comment