Pages

Thursday, January 24, 2013

HALMASHAURI RUNGWE YAANZA KURUDISHA KWA NGUVU NYUMBA ZA SERIKALI KWA WALIOUZIWA NA BAADAYE WALIRUDISHIWA PESA NA WENGINE KUZIKATAA




VYOMBO VYOTE VIMETOLEWA NJE
MMOJA WA WAHANGA WA KUFUKUZWA KATIKA NYUMBA ZA SERIKALI BAADA YA KUZIREJESHA  
HAPA BAADA YA KUONDOA VYOMBO VYA MPANGAJI NA KUIFUNGA NYUMA MIJAWAPO KATI YA 11 ZILIZOUZWA AWALI
ZOEZI NI GUMU SANA KUONDOA WAKAZI 11 HAPA WAFANYAKAZI WA MAJEMBE NA HALMASHAURI WAKIPUMZIKA KIDOGO NA KUENDELEA NA ZOEZI
source mbeya yetu

No comments:

Post a Comment