Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, January 2, 2013

Breaking Newzzzz....DE MBA BA KATUA CHELSEA RASMI




ALIYEKUWA MCHEZAJI MSHAMBULIAJI WA  NEWCASTLE YA UINGEREZA AMESAJILIWA RASMI NA TIMU YA CHELSEA BAADA YA CLUB HIYO KURUHUSIWA NA NEWCASTLE KUFANYA NAYE MAZUNGUMZO  NDIPO WALIPOFIKIANA MAKUBALIANO YA UHAMISHO NA MCHEZAJI MWENYEWE KATIKA KIPINDI HIKI CHA DIRISHA DOGO.

No comments:

Post a Comment