ALIYEKUWA
MCHEZAJI MSHAMBULIAJI WA NEWCASTLE YA UINGEREZA AMESAJILIWA RASMI NA
TIMU YA CHELSEA BAADA YA CLUB HIYO KURUHUSIWA NA NEWCASTLE KUFANYA NAYE
MAZUNGUMZO NDIPO WALIPOFIKIANA MAKUBALIANO YA UHAMISHO NA MCHEZAJI
MWENYEWE KATIKA KIPINDI HIKI CHA DIRISHA DOGO.
No comments:
Post a Comment