Pages

Thursday, January 10, 2013

DK. SHEIN AKUTANA NA MKURUGENZI WA KIMATAIFA WA MFUKO WA MAENDELEO YA KILIMO



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi wa Kimataifa wa Mfuko wa Maendeleo ya Kilimo Perin L.Saint Ange,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,akiwa na ujumbe wake.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa Kimataifa wa Mfuko wa Maendeleo ya Kilimo Perin L.Saint
Ange,(katikati) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,akiwa na ujumbe wake.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

No comments:

Post a Comment