Pages

Wednesday, January 23, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL ATOA MAONI KWA TUME YA KUKUSANYA MAONI YA KATIBA MPYA


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti wa Tume ya Kukusanya Maoni ya Katiba Mpya, Jaji Joseph Sinde Warioba, wakati tume hiyo ilipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo kwa ajili ya kuchukua maoni yake binafsi ikiwa ni sehemu ya kuchangia maoni ya katiba mpya. 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati akitoa maoni yake kwa Viongozi wa Tume ya katiba mpya, iliyofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo ikiwa ni sehemu ya jukumu la tume hiyo la kukamilisha zoezi la ukusanyaji wa maoni ya Katiba mpya.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati akitoa maoni yake.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Kukusanya Maoni ya Katiba Mpya, Jaji Augustino Ramadhan,  wakati Tume hito ikiondoka Ikulu baada ya kupokea maoni ya Mhe. Makamu leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa tume ya Kukusanya maoni ya Katiba Mpya, baada ya mazungumzo yao ya kupokea maoni yaliyofanyika leo Januari 23, 2013, Ikulu jij

No comments:

Post a Comment