MAAJABU....MTOTO ALIEZIKWA MZIMA NA KUFUKULIWA NA KUKUTWA MZIMA .Angalia PICHA ya TUKIO ZIMA
Mama mmoja nchini Nigeria ameamua kumzika mtoto wake akiwa hai. Baada ya
taarifa kupatikana polisi walienda na kuamua kufukua. Baada ya kufukua
walimkuta mtoto huyo na kumkimbiza hospitali aliposafishwa mtoto huyo
alikutwa hai.
No comments:
Post a Comment