Waumini
wa dini ya Kislam wakiomba dua mbele ya jeneza lililokuwa na mwili wa
marehemu Doto Kipenga (aliewahi kuwa Bondia Miaka ya nyuma) kabla ya
mazishi yake.
Bondia
wa timu ya Taifa Selemani Kidunda mbele akiwa amebeba jeneza lenye
mwili wa marehemu Doto Kipenga aliyekuwa bondia wakati wa uhai wake kwa
ajili ya maziko yaliyofanyika katika makabuli ya Kigogo Mburahati jana.
Bondia
wa ngumi za kulipwa Japhert Kaseba akiwaongoza wenzie kulibeba jeneza
lenye mwili wa marehemu Doto Kipenga aliyekuwa bondia wakati wa uhai
wake kwa ajili ya maziko yaliyofanyika katika makabuli ya Kigogo
Mburahati jana
No comments:
Post a Comment