Hoteli walilofikia Yanga nchini Uturuki... ni maraha utamu! |
Simba watatukoma mwaka huu... makocha wa Yanga, Razak Siwa (kushoto) na Ernst Brandts wakitafakari wakati vijana wao (hawapo pichani) wakiendelea kujifua |
Huku tukizubaa lazima tuwe masharo kwa sana... Cannavaro (kulia) na Razak Khalfan wa Yanga wakiwa kwenye uwanja wao wa mazoezi nchini Uturuki jana Desemba 31, 2012. |
Kutoka kushoto ni dogo Rehani, Mbuyu Twite, George Banda, Hamis Kiiza na Didier Kavumbagu wa Yanga wakiendelea kujifua kwenye kambi yao nchini Uturuki |
No comments:
Post a Comment