Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, January 16, 2013

PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO MPYA YA CHEGE "USWAZI"


 Msanii kutoka Tmk Wanaume Family maarufu kama Chege Chigunda baada kutamba na ngoma kali iliyofahamika kwa jina la Mwanayumba,sasa basi kwa sasa hivi yupo katika maandalizi ya kuachia video yake mpya inayokwenda jina la Uswazi.
 Hizi ni baadhi ya picha za utengenezaji wa video hiyo mpya ya chege Uswazi.




No comments:

Post a Comment