Msanii kutoka
Tmk Wanaume Family maarufu kama
Chege Chigunda baada
kutamba na ngoma kali iliyofahamika kwa jina la Mwanayumba,sasa basi
kwa sasa hivi yupo katika maandalizi ya kuachia video yake mpya
inayokwenda jina la
Uswazi.
Hizi ni baadhi ya picha za
utengenezaji wa video hiyo mpya ya chege
Uswazi.
No comments:
Post a Comment