Pages

Wednesday, January 2, 2013

POLISI ALIYEFIA KATIKA OPERESHENI DARFUR SUDAN AZIKWA




Maofisa wa Polisi wakiwa wamebeba jeneza la mwili wa Mrakibu Mwandamizi  wa Polisi EX SSP Hawa Luzy aliyefia Darfur Sudan alipokuwa amekwenda kwa ajili shughuli za ulinzi wa amani katika jimbo hilo.Ofisa huyo alizikwa jana katika makaburi ya Kisutu.
Askari wa Kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) Wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Mrakibu Mwandamizi wa Polisi EX SSP Hawa Luzy aliyefia Darfur Sudan alipokuwa amekwenda kwa ajili shughuli za ulinzi wa amani katika jimbo hilo.Ofisa huyo alizikwa jana katika makaburi ya Kisutu kwa heshima zote za kijeshi

No comments:

Post a Comment