Meneja
wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe (kulia), akimkabidhi vifaa ya michezo,
Katibu wa klabu ya Yanga SC, Lawrence Mwalusako asubuhi ya leo katika ukumbi wa
mikutano wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa ajili ya mzunguko wa pili wa
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, unaoanza mwishoni mwa wiki. Kilimanjaro
inayozalishwa na kampuni ya Bia Tanzania (TBL) ni wadhamini wakuu wa Yanga
SC.
|
No comments:
Post a Comment