Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, January 2, 2013

WAOMBOLEZAJI WAMIMINIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU SAJUKI TABATA BIMA



Waombolezaji mbalimbali wakiwemo waigizaji wa filamu nchini Bongo Movie wakiwasili Tabata Bima nyumbani kwa marehemu Juma Kilowoko SAJUKI aliyefariki leo asubuhi kwenye Hospitali ya Muhimbili wodi ya Mwaisela, ambako alikuwa amelazwa kwa matibabu, bado taarifa rasmi za mazishi ya mwigizaji huyo hazijatolewa na mwili wa marehemu umehifadhiwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili.
Tutaendelea kuwaletea taarifa kadiri tutakavyozipata hapa ni baadhi ya picha mbalimbali ambazo kikosikazi cha fullshangweblog kimezinasa katika eneo la msiba

No comments:

Post a Comment