Waombolezaji
mbalimbali wakiwemo waigizaji wa filamu nchini Bongo Movie wakiwasili
Tabata Bima nyumbani kwa marehemu Juma Kilowoko SAJUKI aliyefariki leo
asubuhi kwenye Hospitali ya Muhimbili wodi ya Mwaisela, ambako alikuwa
amelazwa kwa matibabu, bado taarifa rasmi za mazishi ya mwigizaji huyo
hazijatolewa na mwili wa marehemu umehifadhiwa katika hospitali ya taifa
ya Muhimbili.
Tutaendelea
kuwaletea taarifa kadiri tutakavyozipata hapa ni baadhi ya picha
mbalimbali ambazo kikosikazi cha fullshangweblog kimezinasa katika eneo
la msiba
No comments:
Post a Comment