Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mh EmmanuelNchimbi
Mkuu wa jeshi la polisi Said Mwema
Mda
mchache uliopita Waziri mkuu Mheshimiwa Mizengo PK Pinda, Waziri wa
Mambo ya Ndani Mheshimiwa Emmanuel Nchimbi na IGP Saidi Mwema Wamewasili
Mtwara.Kuwasili kwa viongozi hao mkoani mtwara kunatokana na vurugu
zilizozuka juzi mtwara mjini na jana kuhamia wilaya ya masasi ambapo
watu kadhaa wamefariki dun ia na wengine kujeruhiwa sambamba na
uharibifu mkubwa wa malina Sasa wapo Ikulu ndogo wakiendelea na
Mazungumzo na wenyeji wao
No comments:
Post a Comment