MAGARI YA ZIMA MOTO YAKIWA YAMEFIKA ENEO LA MWENGE KWA AJILI YA KUZIMA MOTO HUO
WANANCHI
MBALIMBALI WAKIWA WANASAIDIA KUOKOA MALI PAMOJA NA KUSAIDIA KUZIMA
MOTO, HUKU KIKOSI CHA ZIMA MOTO WAKIWA WANAWEKA UZIO KATIKA ENEO LA
MWENGE
HIVI NDIVYO YANAVYO ONEKANA MAGARI YA ZIMA MOTO
HILI NI ENEO LA MBELE AMBAPO MOTO ULIHAMIA BAADA YA KUTOKA KATIKA MADUKA YA NYUMA.
No comments:
Post a Comment