Pages

Saturday, February 2, 2013

LIVE MATCH CENTRE: YANGA VS MTIBWA SUGAR


dk 47 shabani kisiga anaipatia mtibwa goli la kwanzaaaaaaaaaaaa
dk ya 45 mpira wa kurusha
 faulo kuelekea langoni mwa yangaaaa
vicent barnabas anashindwa kutia mpira nyavuni na ni offside
 :rashidi gumbo anakosa goli la hapa baada ya shuti kaliiii
dk 24 Yanga inafanya mashambulizi kadhaa langoni kwa Mtibwa lakini kipa Hussein Sharrif Casillas anaokoa hatari zote.

Dk 12 Didier Kavumbagu wa Yanga anakosa bao la wazi akiwa amebaki na kipa wa Mtibwa

Mpira umeanza dakika ya tatu sasa! Timu zinashambuliana kwa zamu
Young Africans line-up to face Mtibwa Sugar today:
1.Ally Mustafa 'Barthez'
2.Mbuyu Twite
3.Oscar Joshua
4.Nadir Haroub 'Cannavaro'
5.Kelvin Yondani
6.Athumani Idd 'Chuji'
7.Saimon Msuva
8.Frank Domayo
9.Didier Kavumbagu
10.Jerson Tegete
11.Haruna Niyonzima

Subs:
1.Said Mohamed
2.Shadrack Nsajigwa
3.Stephano Mwasika
4.Juma Abdul
5.Nurdin Bakari
6.Omega Seme
7.George Banda
8.Nizar Khalfani
9.Said Bahanunzi
10.Hamis Kiiza
11.David Luhende
12.Rehani Kibingu


Mtibwa line up: Hussein Sharrif, Said Mkopi, Idrisa Rashid, Rajab Mohamed, Salum Sued, Shaaban Nditi, Vincent Barnabas, Rashid Gumbo, Hussein Javu, Shaaban Kisiga, Ally Mohamed

No comments:

Post a Comment