Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shen, akimkabi Vifaa vya Michezi Ali Yussuf
Mussa wa Mkoa wa Kusini Unguja, vilivyotolewa na Mwakilishi wa CCM Jimbo
la Uzini Mohamed Raza Daramsi na Familia ya Mwakilishi wa Jimbo la
Bububu Husein Ibrahim Makungu (Bhaa) mashindano ya kusherehehekea miaka
36 ya kuzaliwa kwa CCM,kwa timu za Mikoa 6 ya Zanzibar, alipozindua
Sherehe za maadhimisho ya miaka 36 ya Kuzaliwa kwa Chama hicho. |
No comments:
Post a Comment