Baadhi ya wahariri wa magazeti ya michezo wakimsikiliza Katibu wa TFF Angetile Osiah,wakati wa Hafla ya kuitathmini ligi kuu ya Vodacom iliyoandaliwa na mdhamini mkuu wa ligi hiyo Vodacom Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika katika Hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa
Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bw.Kelvin Twissa,akizungumza
na wahariri wa vyombo mbalimbali wa michezo pamoja na wageni waaligwa
wakati wa Hafla ya kuitathmini ligi kuu ya Vodacom iliyoandaliwa na
mdhamini mkuu wa ligi hiyo Vodacom Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika
katika Hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salaam.
Katibu wa
TFF Angetile Osiah,(kushoto)Afisa Mtendaji Mkuu wa kamati ya ligi kuu
Silas Mwakabinga,pamoja na Mjumbe wa TFF Saad Kwemba,wakibadilishana
mawazo wakati wa Hafla ya kuitathmini ligi kuu ya Vodacom iliyoandaliwa
na mdhamini mkuu wa ligi hiyo Vodacom Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika
katika Hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa chama cha waandishi wa habari Tanzania Bw.Juma Pinto akizungumza na
baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali wa michezo pamoja na wageni
waaligwa wakati wa Hafla ya kuitathmini ligi kuu ya Vodacom
iliyoandaliwa na mdhamini mkuu wa ligi hiyo Vodacom Tanzania. Hafla hiyo
ilifanyika katika Hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salaam.
Mwandishi
wa habari wa Clouds radio Bw.Shafii Dauda (kushoto)akibadilishana
mawazo na Afisa udhamini wa Vodacom Tanzania,Bw.Ibrahim Kaude, wakati wa
Hafla ya kuitathmini ligi kuu ya Vodacom iliyoandaliwa na mdhamini mkuu
wa ligi hiyo Vodacom Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika katika Hoteli ya
Southern Sun jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya
wahariri wa michezo kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakibadilishana
mawazo wakati wa Hafla ya kuitathmini ligi kuu ya Vodacom iliyoandaliwa
na mdhamini mkuu wa ligi hiyo Vodacom Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika
katika Hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment