Hali ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania si shwari baada ya wabunge wa CCM na Chadema kuvutana bungeni sasa .
Hivi
sasa mwanasheri mkuu wa serikali ameingilia kati kwa kutoa japo
uwezekano wa kuongea umekuwa mgumu baada ya wabunge wa Chadema
kufanya vurugu kubwa kwa kuimba CCM! CCM!,CCM !!
Hadi
sasa hali imeendelea kuwa tete katika ukumbi huo wa bunge baada
ya wabunge kugomea hoja hiyo ya mbunge wa jimbo la Ubunge John Nyika
na bunge kuhairishwa na bunge limevunjika hadi kesho asubuhi
Fuatilia..!
source http://dodoma-yetu.blogspot.com
No comments:
Post a Comment