Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
akipiga picha kwa ajili ya Kitambulisho cha Taifa wakati alipokamilisha
taratibu za kupatiwa Kitambulisho cha Taifa nyumbani kwake asubuhi ya
leo, Ijumaa, Februari Mosi, 2013.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
akitia saini baada ya kuthibitisha maelezo yake binafsi kwenye Fomu ya
Kitambulisho cha Taifa wakati alipokamilisha taratibu za kupatiwa
Kitambulisho hicho nyumbani kwake jijini Dar es salaam leo, Ijumaa,
Februari Mosi, 2013. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Bwana Dickson E Maimu.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
akipigwa akichukuliwa alama vidole wakati alipokamilisha taratibu za
kupatiwa Kitambulisho cha Taifa nyumbani kwake asubuhi ya leo, Ijumaa,
Februari Mosi, 2013.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment