Washiriki
wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa wanafanya usafi pamoja na Meya
wa Manispaa ya Ilala Muheshimiwa Jerry Slaa Leo.
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa katika picha ya Pamoja na Muheshimiwa Meya wa Ilala Jerry Slaa
Washiriki
wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa wanafurahia baada ya kumaliza
Zoezi la kufanya usafi katika Fukwe ya Bahari ya Hindi leo.
**********
Washiriki
40 wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 kutoka mikoa yote na vyuo vikuu
waliopo katika kambi ya Taifa Ikondolelo Lodge wakijiandaa na fainali
za Taifa zitakazo fanyika Tarehe 16.02.2013 Dar Live Mbagala. Leo
wameshiriki katika zoezi la kusafisha ufukwe wa Bahari pamoja na Meya wa
Manispaa ya Ilala Muheshimiwa Jerry Slaa.
Tamasha
hilo maalum la kutunza na kujali Mazingira pamoja kuonesha umuhimu wa
mazingira liliandaliwa na Shirika la Nipe Fagio ambalo limejikita katika
mambo kusaidia jamii pamoja na Mazingira.
Katika
Tamasha hilo ambapo Viongozi mbalimbali wa Serikali, pamoja na wananchi
mbalimbali walihudhulia na kufanya usafi huo kuanzia saa moja asubuhi
mpaka sa Nne kamili asubuhi, zoezi lilienda vizuri ambapo Warembo wa
Miss Utalii Tanzania walishiriki kikamilifu na walionesha mfano mzuri
kwa kuchapa kazi zaidi ya kukusanya taka taka hizo
No comments:
Post a Comment