Pages

Wednesday, March 20, 2013

ANGALIA PICHA MWANAMKE ALIYEDAIWA KUBAKWA,HADI KUFA ALIVYOZIKWA NA MANISPAA MOROGORO





 Mrembo huyo akiwa eneo la tukio kabla ya polisi kuuchukua mwili wake eneo hilo la mashamba ya Mikonge.
 Mwili wa mrembo huyo akutolewa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti ukiingizwa kwenye Lori la Manispaa leo majira ya saa moja na nusu
            




                    Lori la Manispaa likitia nanga eneo la makaburi na mwili wa mrembo huyo
                   Mrembo huyo akishushwa kwenye lori la Manispaa

No comments:

Post a Comment