Pages

Wednesday, March 20, 2013

HALI ILIVYOKUWA KATIKA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU WAKATI LWAKATARE AKIRUDISHWA RUMANDE BAADA YA KUACHIWA HURU

 Mkurugenzi wa Usalama na Ulinzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare akionesha ishara ya vidole ambayo ni salamu kwa wafuasi wa chama chake wakati akiingia katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
 Askari wa mbwa wakiimarisha ulinzi wakati wa kesi hiyo.
Askari wa mbwa wakiimarisha ulinzi wakati wa kesi hiyo.
  Mkurugenzi wa Usalama na Ulinzi wa Chadema, Wilfred Lwakatare akiwa na mtuhumiwa mwenzake, Ludovick Joseph wakiingia mahakamani leo.
 Mkurugenzi wa Usalama na Ulinzi wa Chadema, Wilfred Lwakatare akiwa na mtuhumiwa mwenzake, Ludovick Joseph wakiingia mahakamani leo.

 Polisi wakisindikiza msafara wa gari lililompakia Mkurugenzi wa Usalama na Ulinzi wa Chadema, Wilfred Lwakatare kuelekea mahabusu hadi April 3 mwaka huu.
 Mkurugenzi wa Usalama na Ulinzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare akionesha ishara ya vidole ambayo ni salamu kwa wafuasi wa chama chake wakati akiingia katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akiteta jambo na mke wa Mkurugenzi wa Usalama na Ulinzi wa Chama hicho, Wilfred Lwakatare.
Jengo la Mahakama ya Kisutu.
Wafuasi wa Chadema wakiwa  wamekusanyika nje ya mahakama hiyo.Picha Kwa Hisani ya Habari Mseto Blog

No comments:

Post a Comment