Pages

Thursday, March 21, 2013

PICHA 14 ZA HOSPITALI ALIYOLAZWA LIL WYNE.



.
Pamoja na kwamba rapper Lil Wyne ametoka hospitali jana march 19 alikokua amelazwa toka wiki iliyopita ikidaiwa anasumbuliwa na magonjwa kadhaa ikiwemo degedege ambapo hata mwaka 2012 alipata tabu sana akiwa kwenye ndege baada ya kuanza kuugua ghafla, unaweza kuitumia hii nafasi kusafisha macho kwa kutazama picha za hospitali alikokua amelazwa huko Las Angeles, California Marekani.
.
.
.
Ni hospitali iliyowatibu mastaa kibao akiwemo Britney Spears.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

No comments:

Post a Comment