Kampeni ya Fichua Maovu inayoendeshwa na Gpl inazidi kuibua mazito!
Safari
hii imefanikiwa kunasa danguro la ufuska linalodaiwa kutumia na wasanii
chipukizi wa muziki na filamu za Kibongo ambalo ni zaidi ya yale
yaliyotendeka enzi za Sodoma kabla ya dunia kuangamia....
Kwa muda
mrefu Risasi lilipokea malalamiko ya majirani katika nyumba moja iliyopo
Temeke, jijini Dar es Salaam kuwa kuna danguro linalotumiwa na mabinti
chini ya umri wa miaka 18 kwa ajili ya kuchuuza miili yao kwa wanaume
huku baadhi wakiwa ni wasanii chipukizi wa filamu na muziki
wanaohangaika kutoka kisanaa.
Story kamili baadae au tembelea Risasi (Global)
No comments:
Post a Comment