Ikiwa ni
miezi minne tu imepita toka tulipoingia rasmi kwenye mfumo dijitali
(digital system) kwa vituo vya televisheni.. Startimes wamepandisha
gharama ya vifurushi..
Kile kilichokuwa kinauzwa Tshs. 9,000 sasa kitauzwa Tshs. 10,000..
Kile cha
Tshs. 18,000 sasa kitakuwa Tshs. 20,000.. Kile cha Tshs. 36,000 sasa
kitakuwa ni Tshs. 40,000.. Itaanza rasmi tarehe 15 April..
TCRA waliahidi mambo mengi mazuri kwenye mfumo dijitali..Ahadi yao imegeuka na kuwa ndoto.....
Vifurushi vinapanda huku huduma ikiwa ni mbovu hasa kwa hawa Startimes
No comments:
Post a Comment