Kabla ya kufanya operesheni hiyo,
waandishi walitaarifiwa kwamba Wilaya ya Kinondoni jijini Dar ndiyo
inayoongoza kwa wake na waume za watu kufanya vitendo vya ngono kwenye
magari.
Maeneo yaliyodaiwa kwamba wazinzi
hao hupenda kuyatumia ni Coco Beach, Leaders Club, Mlimani City na
sehemu kubwa ya vitongoji vya Sinza na Mwenge, Dar.
Mbali na waume na wake za watu,
wengine wanaotajwa kufanya vitendo vya ngono ndani ya magari ni mastaa
wakubwa ambao wanaogopa kwenda kukodi vyumba mahotelini na gesti
wakihofia watajulikana kutokana na umaarufu wao.
Jumatatu
ya Aprili Mosi, mwaka huu, waandishi wetu walianza mchakato wa
kutembelea vitongoji walivyoezwa kwamba, watu hususan wake na waume za
watu hupenda kuvitumia kufanyia ufuska.
Waandishi wetu walitinga kwenye
Ufukwe wa Coco uliopo Oysterbay, Dar ambako walishuhudia wasichana wengi
waliokuwa wakifanya biashara ya kujiuza ‘machangudoa’ katika viunga
hivyo.
Mbali na wasichana hao, pia kulikuwa na vibaka wengi waliokuwa wakiwalinda machangudoa hao ili wasipate matatizo.
Pia, wanaume wengi walikuwa
wakifika na wanawake ndani ya magari yao na kupozi kwenye maegesho,
wengi wao hawakuonekana kama ni watu na wake zao.
Hata
hivyo, waandishi walibaini kwamba magari mengi yanayotumiwa katika eneo
hilo ni yale yenye vyoo vyeusi ‘tinted’ hivyo ni vigumu kujua
kinachoendelea ndani yake.
Kwa ujanja, waandishi wetu
walibaini kwamba ‘pea’ nyingine zilikuwa zikifanya vitendo vya
‘kudendeka’ na wengine kufika mbali zaidi lakini walishindwa kuwavaa
kutokana na usalama mdogo katika eneo hilo.
Waandishi wetu walihamishia mtego
wake Leaders Club, Kinondoni mida ya saa 8:05, baada ya kupiga misele ya
hapa na waandishi walifanikiwa kumbamba mmoja wa wazinzi.
Waandishi walitulia baada ya kuliona gari aina ya Toyota Land Cruiser likiwa katika eneo la maficho nje ya viwanja hivyo.
Gari hilo lilikuwa likitikisika kuonesha kwamba mchezo ulikuwa ukiendelea ndani yake.
Wakati waandishi wakijipanga kulivamia, ghafla waliokuwa ndani walishtuka na kupozi kwa muda.
Hata walipoachiwa ili waendelee, machale yaliwacheza na kuwasha gari kisha kuondoka kwa kasi.
Pamoja na kulikosakosa tukio hilo,
waandishi hawakukata tamaa, kuanzia Jumatatu hadi Jumapili waliendelea
na utaratibu wa kutembelea viwanja husika.
Jumapili iliyopita baada ya kutembelea viwanja vyote kusaka ‘wahalifu hao’, hatimaye mtego ulinasa.
‘Patroo’ ikiwa kazini maeneo ya
Mwenge, Dar jirani kabisa na hoteli moja inayopata umaarufu mkubwa siku
za hivi karibu, ghafla gari aina ya Toyota Corona likiwa limepaki kwenye
eneo la giza, chini ya mti lilikuwa likitikisika kuonesha kwamba
kulikuwa na watu waliokuwa wakifanya ngono.
Safari hii, bila kufanya makosa, waandishi wetu waliwasogelea ambapo na wao hawakuonekana kujali wapita njia....
Credit: GPL-Ijumaa
No comments:
Post a Comment