GARI AINA YA HIACE IKIWA IMEGONGA UKUTA WA BAR YA MEGAN ARUSHA
GARI NDOGO AINA YA HIACE MDA HUU IMEGONGA UKUTA WA BAR MAARUFU MAENEO YA NJIRO IITWAYO MEGAN NA KUUANGUSHA UKUTA HUO,CHANZO CHA AJALI HIYO NI DEREVA WA GARI HIYO ALIPOKUWA ANARUDI NYUMA ILI AWEZE KUTOKA NDIPO ALIPOUGONGA UKUTA HUO NA KUUANGUSHA,MPAKA TUNAONDOKA ENEO LA TUKIO HAKUNA TAARIFA YA MAJERUHI WALA KIFO.
No comments:
Post a Comment