Pages

Wednesday, April 24, 2013

ARUSHA::HALI BADO NI TETE CHUO CHA UHASIBU ARUSHA MBUNGE WA ARUSHA MJINI GODBLESS LEMA KAFIKA KUONGEA NA WANACHUO,TAZAMA PICHA

 Hapa akiondoka na wanafunzi kwenda kumtoa mkuu wa chuo ofisini
 Lema akionge na wanafunzi wa chuo cha uhasibu arusha
hapa mbunge wa arusha mjini Godbless Lema akiwasili eneo la tukio
HALI NI TETE CHUO CHA UHASIBU ARUSHA BAADA YA WANAFUNZI KUANDAMANA NDANI YA CHUO NA KUTAKA KUONANA NA UONGOZI WA POLISI WA MKOA WA ARUSHA BAADA YA MWANACHUO MWENZAO KUUAWA KWA KUCHOMWA NA KISU SHINGONI JANA USIKU MAENEO YA SDA,OCD WA ARUSHA NA MBUGE WA ARUSHA MJINI WAMEFIKA ENEO LA TUKIO KUJARIBU KUONGEA NA WANAFUNZI.LAKINI HALI BADO TETE KWA KUWA WANAFUNZI HAWAMTAKI OCD WANAMTAKA RPC,KATIKA HALI YA KUSHANGAZA NA KUSIKITISHA RPC ALIPOPIGIWA SIMU NA LEMA ALISEMA ETI HAJUI CHUO CHA UHASIBU KIPO WAPI,SWALI LAKUJIULIZA INAKUAJE RPC ASIJUE CHUO KIKUBWA KAMA HIKI ARUSHA KIPO MAENEO GANI?ENDELEA KUWA NASI TUTAKULETEA TAARIFA ZAIDI

No comments:

Post a Comment