Pages

Friday, April 26, 2013

" HAKUNA WANAUME TZ....WENGI WAO WANA F** L"....HILI NI TUSI LA JINI KABULA BAADA YA KUSALITIWA. SOMA HAPA


 Kinachoonekana  ni  kwamba  Jini  kabura  amesalitiwa  na  mpenzi  wake  na  hivi  ameamua  kuhamishia  hasira  zake  kwa  wanaume  wote.....

Jini  kabura  amefikia   hatua  ya  kuunga  mkono  vitendo  vichafu  vya  mapenzi  ya  jinsia  moja  kwa  madai  kuwa  hakuna  wanaume  tz  na  hao  wachache  waliopo  eti wanaf***lwa....!!!!

Kupitia  mtandao  wa  BBM,  Jini  kabula  alipost  ujumbe  huu:

 "Hivi Boy Friend Akikusaliti kwa Marafiki zako na Ndugu zako Ukilipiza kuna Ubaya?

"Naombeni Jibu maana nina mpango wa kutoka mpaka na baba zake kama mbwai acha iwe Minina wanaume Bongo....Griiii...

"Mnao Sag*na Sag**neni tu nawasaport wote Peaneni raha wanaume hakuna maana wengi wanaf*lwa"...

Source:BBM

No comments:

Post a Comment