Pages

Friday, April 26, 2013

NEWSSSSSSSSSSS WAVUNJAJI WA NYUMBA MAARUFU KAHAMA AMBAO WANAHISIWA KUFANYA MAUAJI YA AFANDE SALIM MTEPA WAKAMATWA,WAKUTWA NA VITU LUKIKI KWENYE GHETO LAO,KAMA UMEIBIWA SOMA HAPA KISHA NENDA KITUO CHA POLISI KAHAMA KATAMBUE MALI YAKO.


MKUU WA KITUO CHA POLISI KAHAMA GEORGE SIMBA AKITOA TAARIFA KWA UMMA KUPITIA RADIO KAHAMA FM MCHNA HUU KUHUSU TAARIFA YA KUKAMATWA KWA VITU HIVYO NA WEZI HAO.

ISOME TAARIFA YAKE HAPA NA VITU VILIVYOKAMATWA:


OCD SIMBA KULIA AKIWA NA MTANGAZAJI WA KAHAMA FM MARCO MIPAWA.
 
source KB BLOG

No comments:

Post a Comment