HII NDIYO NDEGE ILIYOONDOA UHAI WA TAJIRI MAARUFU WA KILIMANJARO BABU SAMBEKE!!!
HABARI
za kusikitisha ni kwamba mfanya
biashara maarufu mkoani Kilimanjaro anayefaamika kwa jina la Babu
Sambeke amefariki dunia kwa ajali ya ndege huko mkoani Arusha, ndege
hiyo ambayo mmiliki alikuwa ni marehemu NYAGA MAWALLA,aliyefariki dunia
siku chache zilizopita, inasemekana imepata ajali leo jioni na kupelekea
vifo vya watu wawili ambao ni Babu Sambeke na mtu mwingine ambaye mpaka
sasa jina lake kalijatambulika. Inasemekana ajali hiyo imetokea jijini
arusha ambapo babu alikwenda kwa shughuli zake za Kibiashara.
PICHA ZA MABAKI YA NDEGE ILIYODONDOKA JANA JIJINI ARUSHA
Eneo
ambalo ndege iliyoanguka, kutoka eneo hilo mpaka landing truck ni kama
1km. Mbele ya mabaki hayo ya ndege kuna mti mmoja ambao unasadikiwa
kuwa ndege hiyo ilijigonga na kudondoka chini.
No comments:
Post a Comment