Pichani ni Wananchi wakiwa
katika hali ya taharuki baada ya moto kuzuka katika Jengo la iliyokuwa tawi la
Benki ya NBC Kichwele jirani na makao makuu ya Ofisi za MeTL jioni
hii.
Hata hivyo chanzo cha moto
huo bado hakijajulikana mpaka sasa.
Na jitihada za kuuzima moto
huo zinaendelea kutoka kwa kikosi cha zimamoto wakisaidiwa na
Polisi.
Baadhi ya Wananchi
wakishangaa moshi mzito uliokuwa ukifuka kutoka ndani ya jengo hilo Ground Floor
inayotumika kama Ghala la kuhifadhia mizigo.
Mmoja wa wakazi anayeishi
gorofa za juu za jengo hilo akifannya mawasiliano na ndugu
zake.
Askari wa Kikosi cha zimamoto katika jitihada za kuuzima moto huo ambao chanzo chake hakijajulikana.
No comments:
Post a Comment