KALI YA LEO: MARIO BALOTELLI AWAAMBIA MADRID WAKIMTOA DORTMUND BASI DEMU WAKE ATAKUWA HALALI YAO
Mario Balotelli anaweza akajiingiza kwenye ugomvi na mchumba wake Fanny Neguesha baada ya kuripotiwa kwamba ametamka kuwa ikiwa Real Madrid wataweza kubadili matokeo na kuwatoa Dortmund basi atawaaruhusu wachezaji wote wa kikosi cha Los Blancos kulala na mchumba wake huyo mwanamitindo mwenye asili ya Ubelgiji.
No comments:
Post a Comment