TAZAMA PICHA ZA MBUNGE GODBLESS LEMA AKIWA MTAANI ARUSHA BAADA YA KUACHIWA KWA DHAMANA
Godbless
Lema ambae ni mbunge wa Arusha mjini alishikiliwa na polisi toka
mwishoni mwa wiki iliyopita kwa madai ya uchochezi wa fujo zilizofanywa
na Wanachuo wa Uhasibu Arusha.
No comments:
Post a Comment