Pages

Friday, April 12, 2013

KUTOKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO



IMG_0114WaziriMkuu, Mizengo Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo kati yake na Mbunge wa Sumve, Richard Ndassankwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 12, 2013.
  IMG_0123Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akibadilishana mawazo na Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola kwenye viwanja vya Buge Mjini Dodoma Aprili 12, 2013.  IMG_0128Waziri Mkuu, Mizego Pinda akiteta na wabunge Kangi Lugola wa Mwibara (kulia)  na Leticia Nyerere wa Viti Maalum kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 12, 2013.
IMG_0130Waziri Mkuu, Mizego Pinda akiteta na wabunge Kangi Lugola wa Mwibara (wapili kulia)  na Leticia Nyerere wa Viti Maalum (kushoto)  na Agustino Masele wa Mbogwe (kulia)  kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 12, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment