MAJINA 16 YALIYOPENDEKEZWA NA RAIS UHURU PAMOJA NA NAIBU WAKE RUTO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI.
1. CHARITY Ngilu - Ardhi, Makao na Ustawi wa Miji. 2. NAJIB Balala - Uchimbaji Madini. 3. Dkt. HASSAN Wario - Michezo, Utamaduni na Sanaa. 4. JUDI Wakhungu – apendekezwa Waziri wa Mazingira, Maji na Maliasili 5. FELIX Kosgey - Kilimo, Mifugo na Uvuvi. 6. PROF. JACOB Kaimenyi - Waziri wa Elimu. 7. PHYLLIS Kandie - Masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Biashara na Utalii. 8. MICHAEL Kamau - Uchukuzi na Miundo Msingi. 9. RACHEL Awuor Omamo – Waziri wa Ulinzi 10. DAVIS Chirchir - Waziri wa Kawi na Mafuta. 11. ANNE Waiguru - Waziri wa Ugatuzi na Mipango. 12. ADAN Abdulla Mohammed - Waziri wa Viwanda na Ustawi wa Ujasiriamali. 13. Dkt. FRED Matiangi - Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia 14. HENRY K. Rotich - Waziri wa Hazina Kuu ya Kitaifa. 15. JAMES Macharia - Waziri wa Afya. 16. AMINA Mohamed - Waziri wa Mashauri ya Kigeni.
No comments:
Post a Comment