Pages

Saturday, April 20, 2013

MTU MMOJA AFARIKI DUNIA HUKU WATATU WAKIJERUHIWA AKIWEMO TRAFIKI.




Kaimu kamanda wa polisi mkoani Arusha Ibrahimu Kilongo
Mahmoud Ahmad Arusha
Mtu mmoja amefariki dunia baada ya kuvamiwa na majambazi  na kupigwa risasi ya shingoni wakati akiendesha gari kwenye maeneo ya barabara ya Makongoro karibu na ofisi za Auwsa jijini hapa na watu watatu ambao ni wanawake wawili na askari wa kikosi cha usalama barabarani kujeruhiwa katika tukio hilo ambapo hadi sasa hawajatambuliwa majina.
 Tukio hilo limetokea leo majira ya saa 6:30 mchana maeneo hayo wakati majambazi hao waliokuwa kwenye usafiri wa pikipiki kulivamia gari hilo na kupora kiasi kikubwa cha fedha majira ya saa 5 na nusu mchana na kukimbia kusikojulikana.

No comments:

Post a Comment