Nakaaya
leo hii alikuwa kwenye interview ndani ya XXL, katika mengi
aliyoyaongea, moja ni kuhusu kurudisha kadi ya Chadema na kuhamia CCM.
"moja kati vitu ninavyojutia ni kurudisha kadi ya Chadema na kuingia
CCM, najua nimebugi, lakini sio kama watu wanavyoongea kuwa nilipewa
hela, kama nilipewa hela si saa hii ningekuwa nakula bata, lakini wapi!
mi sijapewa hela.wanajuaje je kama nilitishiwa au vitu vingine kama
hivyo..najua hapo nilibugi.Niliingia kwenye siasa kwasababu ya ushawishi
wa watu, na nilishawishika kwasababu ya wimbo nilioutoa wakati hui "Mr
Politician"
KURUI ,KISARAWE KUMEKUCHA 'JAFO CUP'
-
Na Khadija Kalili Michuzi Tv
Timu za soka Kata ya Kisarawe na Kurui jana zimetoka sare ya goli moja moja
ikiwa ni katika hatua ya kuwania kucheza mechi...
43 minutes ago
No comments:
Post a Comment