Rais
Jakaya Kikwete akimpongeza Rais Mpya wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa
Uhuru Kenyatta huko Ikulu mara baada ya kuapishwa rasmi kuwa rais wa nne
wa nchi hyo katika sherehe zilizofanyika katika uwanja wa kimataifa wa
michezo wa Moi-Kasarani jijini Nairobi tarehe 9.4.2013.
Rais Mpya
wa Kenya, Uhuru Kenyatta akiwashukuru Marais na wakuu wa nchi
waliohudhuria sherehe za kumwapisha wakati wa dhifa ya kitaifa
aliyoiandaa huko ikulu jijini Nairobi.
Rais wa
Kenya aliyemaliza muda wake, Mwai Kibaki akifanya mazungumzo na Rais
Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma huko Ikulu mara baada ya sherehe ya
kumuapisha rais mpya wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Uhuru Kenyatta
kukamilika.
Mke wa
Rais Mama Salma Kikwete akifanya mazungumzo na wake wa viongozi wa juu
wa Kenya, Mama Magrate Kenyatta (kushoto) ambaye ni mke wa Rais Uhuru na
Mama Recheal Ruto (kulia) Mke wa Naibu Rais wa nchi hiyo Mheshimiwa
William Ruto huko ikulu jijini Nairobi mara tu baada ya kuapishwa
viongozi hao tarehe 9.4.2013.
Rais wa
Kenya aliyemaliza muda wake, Mheshimiwa Mwai Kibaki akifanya mazungumzo
na Rais Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma huko Ikulu mara baada ya
sherehe ya kumuapisha rais mpya wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Uhuru
Kenyatta kukamilika.
Mke wa
Rais Mama Salma Kikwete akizungumza na Mke wa Rais wa Jamhuri ya Kenya
Mama Magrate Kenyatta katika ikulu ya Kenya jijini Nairobi mara baada ya
sherehe za kuwaapisha kukamilika. PICHA ZOTE NA JOHN LUKUWI, Nairobi,
Kenya.
No comments:
Post a Comment