ANGALIA PICHA ZA AJALI YA ROLI NA PIKIPIKI NJIA PANDA YA KINYEREZI
Pikipiki
ikiwa imegongwa na roli namba T647 CEK,njia panda ya Segerea leo
asubuhi ,kwa mujibu wa mashahidi dereva wa pikipiki alipita wakati taa
nyekundu inawaka.
Dereva wa pikipiki akiwa amelala chini akiugulia maumivu kabla ya kupata msaada wa kupelekwa hospitali.
No comments:
Post a Comment