Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, May 26, 2013

ANGALIA PICHA ZA AJALI YA ROLI NA PIKIPIKI NJIA PANDA YA KINYEREZI


Pikipiki ikiwa imegongwa na roli namba T647 CEK,njia panda ya Segerea  leo asubuhi ,kwa mujibu wa mashahidi dereva wa pikipiki alipita wakati taa nyekundu inawaka.
Dereva wa pikipiki akiwa amelala chini akiugulia maumivu kabla ya kupata msaada wa kupelekwa hospitali.

No comments:

Post a Comment